Matola azungumzia tetesi za kurudi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Dec 2017
Matola azungumzia tetesi za kurudi Simba
Kocha wa Lipuli ya Iringa, Seleman Matola amesema anasubiri kwa hamu taarifa za Simba kuwa wanamhitaji zimfikie mezani, kwani tetesi anazosikia kwenye vyombo vya habari zimemchosha.

Matola ambaye anasaidiana na Amri Said kuinoa Lipuli, anadaiwa kutakiwa na Simba ili akamsaidie Mrundi Masoud Djuma ambaye sasa amekabidhiiwa mikoba ya kuifundisha timu hiyo baada ya Mcameroon Joseph Omog kutupiwa virago.

"Kila kukicha vyombo vya habari ni Matola kwenda Simba, lakini habari hizo hazijanifikia kabisa zaidi ya kusikia tu mimi nasubiri siku hiyo watakapofika mezani," anasema Matola.

"Sina tatizo na Simba na mkataba wangu na Lipuli haunibani hata nishindwe kuondoka lakini mambo yote naweza kuyazungumza vizuri ni pale Simba watakapofika mezani."

Awali, Matola alikuwa mchezaji wa zamani na nahodha tegemeo wa Simba, lakini baadaye akapewa nafasi ya kocha msaidizi aliwasaidia kwa vipindi tofauti, Golan Kuponovic na Dylan Kerr.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’