Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula jana alicheza mechi yake ya 100 tangu ajiunge na klabu ya Simba mwaka 2017
Hata hivyo mechi hiyo ya 100 haikuwa nzuri sana kwake kwani ilimchafulia takwimu baada ya kuruhusu kufungwa bao ambalo wengi wanadhani lilikuwa 'jepesi'
Hiyo ilikuwa mechi ya 13 Manula anafungwa, ushindi zikiwa mechi 67 na sare mechi 20
Aidha, Manula amecheza mechi 59 bila ya kuruhusu bao
ADVERTISE HERE