Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea jijini Dar es salaam kutoka mkoani Shinyanga ambako jana kilicheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc
Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 1-0, ukiwa mchezo wa kwanza kufungwa kwenye ligi tangu Mei 19 2019
Mabingwa hao wa nchi wanaingia mawindoni kujiandaa na mchezo unaofuata ambao ni dhidi ya Tanzania Prisons



ADVERTISE HERE