Manula awania kuweka rekodi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Oct 2019
Manula awania kuweka rekodi Simba

Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula, leo akicheza dhidi ya Mwadui Fc atatimiza mechi 100 tangu alipojiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara mwaka 2017

Mpaka sasa Manula ameichezea Simba mechi 99, amefungwa mechi 12, ameshinda mechi 67 na kutoka sare michezo 20

Katika mechi 99, Manula hajaruhusu bao kwenye michezo 59

Takwimu hizi ni sababu tosha kwa benchi la ufundi kumfanya kuwa kipa namba moja mbele ya Beno Kakolanya

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
50m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’