Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa CCM Kambarage tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc
Mchezo utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja huo

ADVERTISE HERE