Aussems azipigia hesabu alama tatu za Mwadui Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Oct 2019
Aussems azipigia hesabu alama tatu za Mwadui Fc

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems kesho Jumatano atakiongoza kikosi chake kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa uwanja wa CCM Kambarage

Baada ya kushinda mechi ya sita mfululizo dhidi ya Singida United juzi, Aussems amesema wamejiandaa kupata ushindi licha ya changamoto ya uwanja

"Mchezo wa Singida United haukuwa rahisi kwetu tofauti na matarajio ya wengi kutokana na mazingira magumu ya uwanja"

"Nafurahi wachezaji wangu waliweza kupata ushindi na wameonyesha kuzoea kucheza katika viwanja vyenye changamoto"

"Mchezo dhidi ya Mwadui Fc hautakuwa na tofauti, tunafahamu jinsi uwanja ulivyo. Tumejiandaa vyema kuweza kushinda mchezo huo," amesema

Simba ilitua Shinyanga jana leo ikifanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo

Msimu uliopita Simba iliondoka na ushindi wa mabao 3-1 katika uwanja huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’