Simba imejipanga kuongeza mahudhuria ya mashabiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Oct 2019
Simba imejipanga kuongeza mahudhuria ya mashabiki

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' amesema kuwa walijiwekea mkakati wa kuongeza mahudhurio ya mashabiki katika michezo ya klabu hiyo

Mo amebainisha kuwa tangu kuanza mpango huo kumekuwa na mafanikio, hata hivyo amesema zoezi hilo bado linaendelea

"Moja ya majukumu ambayo Bodi ya Wakurugenzi tumejiwekea ni kuangalia namna ya kuongeza ushiriki na mahudhurio ya mashabiki wa Simba kwenye mechi zetu, na kuzidisha zaidi wigo wa mashabiki"

"Nafurahi kutamka kwamba kidogo tumeanza kufanikiwa, lakini bado hatujafikia shabaha yetu," amesema Mo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
30m ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
3h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
21h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’