Simba kuanzisha mfumo wa kuandikisha Wanachama kidigitali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Oct 2019
Simba kuanzisha mfumo wa kuandikisha Wanachama kidigitali

Uongozi wa klabu ya Simba uko mbioni kuzindua mfumo mpya wa kisasa wa uandikishaji wa washabiki na Wanachama

Mfumo huo wa Kidigitali utazinduliwa mkoani Dodoma baada ya taratibu zote kukamilika

Akizungumza katika uzinduzi wa Tawi la Simba Makao Makuu mkoani Dodoma jana, Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara alisema mfumo huo utakuwa na faida kubwa kwa wanachama na wapenzi wa Simba

Amesema mfumo utawawezesha Wanachama walioandikishwa kupatiwa kadi za kidigitali ambazo watazitumia kama zile za kibenki kufanya manunuzi mbalimbali

Aidha Manara amesema kupitia mfumo huo, Simba itakuwa na uhakika wa kukusanya ada za Wanachama wake kwa urahisi zaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
34m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’