Simba mwendo mdundo, Azam imechemsha, Yanga taabani..!

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Oct 2019
Simba mwendo mdundo, Azam imechemsha, Yanga taabani..!

Wakati jana Simba ikiendeleza umwamba wake kwenye ligi kuu baada ya kuichapa Singida United bao 1-0, hali ilikuwa tofauti kwa Azam Fc ambayo inaangaliwa kama timu inayoweza kupimana ubavu na Simba katika mbio za kuwania ubingwa msimu huu

Azam Fc ilikubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting ukiwa mchezo wa pili mfululizo timu hiyo inapoteza

Mpaka sasa Simba iko juu ya Azam Fc kwa alama tisa!

Pengine msimu huu Simba inaweza kutangaza ubingwa mapema tu kama itaendelea na mwenendo huu wa vipigo mfululizo

Watani zao Yanga hawaonekani kuwa na timu ya ushindani, jana wamechapwa mabao 2-1 na Pyramids Fc katika mchezo uliopigwa CCM Kirumba

Kipigo hicho kimewasogeza karibu na mlango wa kutokea kwenye michuano ya kombe la Shirikisho kwani watahitaji muujiza kushinda nchini Misri

Na watakaporejea kwenye ligi watakuwa na kazi kubwa kwani mpaka sasa Simba iko mbele yao kwa alama 11

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’