Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida United jana, kikosi cha Simba kimeondoka mkoani Arusha kuelekea Shinyanga
Keshokutwa Oktoba 30 Simba itashuka kwenye uwanja wa CCM Kambarage kuikabili Mwadui Fc





Kila la kheri miamba wa soka Tanzania...!
ADVERTISE HERE