Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba tayari kiko mkoani Arusha kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida United
Jioni Simba itafanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuelekea mchezo huo ambao utapigwa dimbani hapo kesho Jumapili Oktoba 27

ADVERTISE HERE