Simba yawapa pole Yanga baada ya mashabiki wao kupata ajali ya basi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Oct 2019
Simba yawapa pole Yanga baada ya mashabiki wao kupata ajali ya basi

Uongozi wa klabu ya Simba umewapa pole watani zao Yanga baada ya mashabiki wa timu hiyo kutoka jijini Dar es salaam waliokuwa wakielekea mkoani Mwanza kupata ajali wilayani Kibaha

"Tunatuma salamu za pole kwa klabu ya Yanga SC kwa ajali ambayo mashabiki wao wameipata wakati wakiwa njiani kwenda mkoani Mwanza"

"Kwa niaba ya Wanasimba natuma salamu za pole kwa watani wetu, Yanga SC kufuatia mashabiki wao kupata ajali wakielekea Mwanza ambako kesho watacheza mchezo wa Kombe la Shirikisho la Afrika"

"Tunawaombea majeruhi wote wapone haraka ili waendelee na shughuli zao za kuwaletea maendeleo na Taifa kwa ujumla", Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji

Ajali hiyo ilisababisha majeruhi kadhaa ambao walirudishwa jijini Dar es salaam kutibiwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’