Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimetua salama mkoani Kilimanjaro uwanja wa ndege wa KIA na sasa kinaelekea mkoani Arusha
Kesho Jumapili Simba itakuwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida United ambao utapigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid
ADVERTISE HERE