Msafara wa kikosi cha Simba unaondoka jijini Dar es salaam asubuhi hii ya Jumamosi, Oktoba 26 kuelekea mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Singida United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid









ADVERTISE HERE