Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam Fc, leo kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Singida United
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili Oktoba 27 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha
Simba inatarajiwa kuelekea mkoani Arusha kesho







ADVERTISE HERE