Kagere afikisha mabao 30 ligi kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Oct 2019
Kagere afikisha mabao 30 ligi kuu

Mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere ambaye msimu tayari amefunga mabao saba kwenye ligi, jumla amefikisha mabao 30

Msimu uliopita Kagere aliibuka mfungaji bora wa ligi akiweka kambani mabao 23 na kuondoka na kiatu cha dhahabu

Kagere ameweka rekodi ya kuwa na uwiano mzuri wa kufunga, akifikisha mabao hayo baada ya kucheza chini ya mechi 40

Msimu huu ameanza na wastani wa kufunga zaidi ya bao moja katika kila mchezo kwani kwenye mecho tano, Kagere amefunga mabao saba

Bado ni mapema lakini wadau wa soka nchini wamemtabiria Kagere kuwa msimu huu huenda akavunja rekodi ya mabao ya msimu mmoja ligi kuu inayoshikiliwa na Mohammed Hussein 'Mmachinga' aliyefunga mabao 26

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’