Mo amrejesha Magori Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Oct 2019
Mo amrejesha Magori Simba

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo', amemteua aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori kuwa mshauri wake

Mo amesema anaamini uzoefu alionao Magori, utaongeza chachu katika kuifanya Simba kuwa klabu yenye mafanikio barani Afrika

"Napenda kutangaza rasmi kuwa nimemteua Ndg. Crescentius Magori kuwa mshauri wangu binafsi kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba," imesema taarifa ya Mo

"Anauzoefu mkubwa wa soka la Afrika na ninaamini uwepo wake utaongeza nguvu kwenye safari yetu ya kuifanya Simba kuwa moja ya klabu yenye mafanikio makubwa zaidi barani Afrika"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’