Wachezaji na benchi la ufundi wamekabidhiwa zawadi ya pikipiki, rice cooker na simu ya mkononi kwa kila mmoja ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohammed Dewji 'Mo' baada ya msimu uliopita kutetea ubingwa wa Ligi Kuu na kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.







ADVERTISE HERE