Aveva, Kaburu kula mwaka mpya rumande

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Dec 2017
Aveva, Kaburu kula mwaka mpya rumande
Upelelezi wa kesi zinazowakabili vigogo wa Simba Evance Aveva na Geofrey Nyange 'Kaburu' bado haujakamilika hivyo wawili hao watakula sikukuu ya mwaka mpya wakiwa mahabusu.

Aveva ambaye ni Rais wa klabu ya Simba pamoja na Makamu wake, Geofrey Nyange Γ’β‚¬ΛœKaburuÒ€ℒ wanakabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha kiasi cha Dola 300,000 (Sh668 milioni).

Wakili Mwandamizi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (Takukuru), Leornad Swai, aliiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Alhamisi kuwa hawajakamilisha upelelezi kutokana na kutopata nyaraka walizoziomba kutoka kwa Aveva.

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Nongwa aliahirisha kesi hiyo hadi Januari 11 mwakani.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’