Wanne hatihati kuikosa Azam Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Oct 2019
Wanne hatihati kuikosa Azam Fc

Nyota wanne wa Simba wanaweza kukosa mchezo wa leo dhidi ya Azam Fc kutokana na majeruhi

Nahodha John Bocco yeye hatakuwa sehemu ya kikosi licha ya kuanza mazoezi mepesi hivi karibuni

Nyota wengine walio kwenye hatihati ya kukosekana ni Jonas Mkude, Mohammed Hussein na Shomari Kapombe

Hata hivyo kocha Patrick Aussems hana wasiwasi kwani kikosi chake kimesheheni nyota wengi

Simba imepania kuendeleza rekodi ya ushindi wa asilimia 100 na kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’