Baada ya Jonas Mkude na Clatous Chama kuripoti kikosini jana, kiraka Erasto Nyoni na Gadiel Michael nao wamereja kikosini tayari kwa mchezo dhidi ya Azam Fc
Nyota hao pamoja na Hassan Dilunga, Miraji Athumani na Mzamiru Yassini walirejea juzi kutoka Sudan ambako waliisaidia Stars kukata tiketi ya fainali za CHAN
Mkude, Nyoni, Gadiel na Chama wamerejea rasmi kwenye timu baada ya uongozi wa klabu ya Simba kumaliza sintofahamu iliyokuwa ikiwakabili


Bila shaka kocha Patrick Aussems anaweza kuwatumia nyota hao kwenye mchezo dhidi ya Azam Fc hapo kesho Jumatano Oktoba 23
ADVERTISE HERE