Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Taifa saa 11 jioni
Mazoezi ya mwisho yamefanyika jioni hii uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam









ADVERTISE HERE