Tiketi za mchezo wa ligi kuu kati ya mabingwa watetezi Simba dhidi ya Azam FC zimeanza kuuzwa kwa mawakala wa Selcom
Viingilio vya mchezo huo;
VIP A - Tsh 20,000/-
VIP B na C - Tsh 10,000/-
Mzunguuko - Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa uwanja wa Taifa, saa 11 jioni
ADVERTISE HERE