Mechi tatu za kirafiki zampa jeuri Wawa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Oct 2019
Mechi tatu za kirafiki zampa jeuri Wawa

Beki Paschal Wawa amesema mechi tatu za kirafiki walizocheza zinawapa matumaini ya kufanya vizuri dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa keshokutwa Oktoba 23 uwanja wa Taifa.

Simba ilianza kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya Bandari uwanja wa Uhuru ikashinda kwa bao 1-0 kisha ikakwea pipa kuwafuata Mashujaa mkoani Kigoma ikashinda bao 1-0 kabla ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Aigle Noir ya Burundi

Wawa amesema kuwa namna kikosi kilivyocheza michezo hiyo, wamezidi kuimarika huku wakiweza kufanyia kazi mbinu mbalimbali walizopewa na kocha Patrick Aussems

"Hatuna kingine ambacho tunakifikiria kwa sasa, kikosi kimecheza michezo mingi ya kirafiki jambo ambalo limetufanya tuwe na muunganiko mzuri, ni wakati wetu kuonyesha kile tulichojifunza kwa vitendo katika michezo yetu yote ikiwa ni pamoja na huu dhidi ya Azam FC"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’