Fraga awapiga 'mkwara' Azam Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Oct 2019
Fraga awapiga 'mkwara' Azam Fc

Kiungo mkata umeme Gerson Fraga amesema anatambua Azam Fc ni moja ya timu bora kwenye ligi msimu lakini wao hesabu zao ni kuhakikisha wanashinda Jumatano

Simba na Azam Fc zitakutana Jumatano kwenye mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Akizungumza jana jioni baada ya mazoezi ya Simba yaliyofanyika uwanja wa Uhuru, Fraga alisema anawasubiri Azam Fc kwa hamu

"Azam Fc wana timu nzuri sana tunafahamu, lakini tunafanya maandalizi kabambe ili kuhakikisha tunshinda mchezo huo"

"Tumeusubiri sana mchezo huu ili tuendelee kuwapa furaha mashabiki wetu," amesema

Nae mlinda lango Beno Kakolanya ambaye alidaka katika mchezo wa Ngao ya Jamii amesema pamoja na Simba kuibuka na udhindi kwenye mchezo huo, Azam Fc walitoa upinzani mkali hivyo wanapaswa kujiandaa kikamilifu ili kuhakikisha wanashinda tena Jumatano

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’