Mchezo dhidi ya Azam Fc hautakuwa mwepesi - Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Oct 2019
Mchezo dhidi ya Azam Fc hautakuwa mwepesi - Aussems

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC hautakuwa rahisi, anaamini Azam ni moja ya timu bora Tanzania.

Simba na Azam Fc zitacheza Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ikiwa ni mara ya pili msimu huu baada ya kukutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii na Simba kushinda 4-2.

Aussems amesema anawaheshimu Azam Fc kwani wana timu nzuri kwa sasa lakini malengo ya kikosi chake ni kushinda mchezo huo

"Niliwaona Azam FC tangu msimu uliopita ni miongoni mwa timu nzuri za Tanzania, katika mpira hakuna mchezo rahisi, lakini tunajiandaa kupata matokeo mazuri tukijua ni wapinzani wa aina gani"

Simba ilitumia vyema mapumziko wa kalenda ya Fifa katika kujiimarisha kwa michezo mitatu ya kirafiki ambapo walishinda miwili na kupata sare moja.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’