Mkude, Chama, Gadiel, Nyoni mikononi mwa Mazingiza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Oct 2019
Mkude, Chama, Gadiel, Nyoni mikononi mwa Mazingiza

Hatma ya nyota wanne wa klabu ya Simba Jonas Mkude, Clatous Chama, Gadiel Michael na Erasto Nyoni itafahamika baada ya wachezaji hao kumaliza majukumu ya timu za Taifa

Uongozi wa Simba uliwasimamisha kwa muda nyota hao wakati masuala yao yakijadiliwa na Kamati ya Nidhamu

Wachezaji hao wanatuhumiwa kukosa safari ya kanda ya ziwa wakikosa michezo ya ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar na Biashara United bila ya kuwa na sababu za msiingi

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingiza amesema wiki ijayo ofisi yake itatoa taarifa kuhusu kesi za wachezaji hao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’