Tanzania yafuzu CHAN 2020 kibabe, yaichapa Sudan 2-1 ugenini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Oct 2019
Tanzania yafuzu CHAN 2020 kibabe, yaichapa Sudan 2-1 ugenini

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayohusishwa wachezaji wanaocheza ligi ya ndani imefanikiwa kufuzu fainali za michuano ya CHAN baada ya kuichapa Sudan mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa huko Sudan

Sudan ilitangulia kupata bao la kuongoza kwenye mchezo huo lakini mabao ya Erasto Nyoni na Ditram Nchimbi yalitosha kuihakikishia Stars ushindi muhimu kwenye kipindi cha pili

Tanzania imefuzu kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya timu hizo kufungana mabao 2-2 katika michezo yote miwili

Sudan ilishinda bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa jijini Dar es salaam lakini kwao wamefungwa mabao 2-1

Hii ni mara ya pili Stars itatinga fainali za michuano hiyo ambazo zitafanyika nchini Cameroon mwakani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’