Mashabiki wa Simba mkoani Lindi wameonyesha umoja wao walipoipokea klabu yao kwa shangwe.
Simba iko safarini kuelekea mkoani Mtwara kucheza mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12 dhidi ya Ndanda FC keshokutwa, Disemba 30.
Viongozi waandamizi wa Simba wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Haji Manara walifungua tawi la klabu hiyo mkoani Lindi kabla ya kuendelea na safari kuelekea mkoani Mtwara.

ADVERTISE HERE