Nahodha wa Simba John Bocco ameanza mazoezi mepesi tayari kuerejea kikosini
Bocco hakusafiri na kikosi cha Simba mkoani Kigoma akiachwa jijini Dar es salaam akiendelea na program maalum ya mazoezi
Baada ya kuwa nje kwa miezi miwili, Bocco sasa anaweza kurejea dimbani kabla ya mwezi huu kumalizika
Hata hivyo huenda asiwe tayari kuikabili Azam Fc Oktoba 23 kwenye mchezo wa ligi kuu
Bocco aliumia August 17 katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya hao hao Azam, Simba ikishinda kwa mabao 4-2
ADVERTISE HERE