Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinaondoka mkoani Kigoma mchana huu wa siku ya Alhamisi Oktoba 17 kurejea jijini Dar es salaam baada ya kumaliza ratiba ya michezo ya kirafiki
Simba inarejea jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege



ADVERTISE HERE