Simba yamaliza ratiba Kigoma, kurejea Dar leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Oct 2019
Simba yamaliza ratiba Kigoma, kurejea Dar leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinaondoka mkoani Kigoma leo baada ya kumaliza program ya mechi za kirafiki mkoani humo

Simba inaondoka Kigoma huku ikiwaachia furaha mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye mechi mbili za kirafiki dhidi ya Mashujaa Fc na Aigle Noir

Iliichapa Mashujaa bao 1-0 na jana kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Aigle Noir

Simba inarejea Dar kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Oktoba 23

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’