Wilker bado kuonyesha makali Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Oct 2019
Wilker bado kuonyesha makali Simba

Mshambuliaji wa Simba raia wa Brazil Wilker Da Silva bado hajaweza kuonyesha makali yake kwenye kikosi cha timu hiyo

Jana kocha wa Simba Patrick Aussems alimpa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir ambao ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Kama angekuwa makini Wilker angeweza kufunga mabao mawili kwenye mchezo huo

Aussems amewataka mashabiki kutoweka matarajio makubwa kwa mshambuliaji huyo kwani bado hajawa fit kutoka kwenye majeraha yaliyomuweka nje kwa takribani wiki sita

"Wilker anahitaji muda zaidi aweze kuwa fit, wakati huu tusitarajie mambo makubwa sana kutoka kwake," amesema

"Pamoja na ugeni wake kwenye soka la Tanzania, tusisahau alikaa nje muda mrefu akiwa majeruhi"

"Ni mchezaji nzuri, tumpe muda kidogo.."

Wilker aliumia Afrika Kusini wakati Simba ikifanya maandalizi ya msimu mpya

Tangu apone, amekuwa na nafasi ndogo kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’