Matokeo ya sare Kigoma hayamuumizi kichwa Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Oct 2019
Matokeo ya sare Kigoma hayamuumizi kichwa Aussems

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema timu yake haikuwa ikiangalia matokeo zaidi kwenye michezo ya kirafiki waliyocheza jijini Dar es salaam na mkoani Kigoma

Simba ilianza kwa kuichapa Bandari Fc bao 1-0 jijini Dar es salaam kisha kuelekea mkoani Kigoma ambako ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa Fc kisha kulazimishwa suluhu ya bila kufungana na Aigle Noir

"Matokeo yalikuwa jambo la mwisho kwenye mechi zetu za kirafiki," amesema

"Muhimu tulihitaji kuwapa wachezaji muda wa kucheza wakati huu ambao ligi imesimama"

Hata hivyo Aussems amekiri mazingira ya uwanja wa Lake Tangayika hayakuwa mazuri kwa timu yake kuweza kufanya vizuri

Jana baada ya mchezo dhidi ya Aigle Noir, beki Yusufu Mlipili alisema uwanja wa Lake Tanganyika uliwapa wakati mgumu kucheza kama walivyozoea

"Tulishindwa kabisa kucheza, uwanja lilikuwa tatizo. Lakini tunashukuru hatupoteza mchezo"

Simba inarejea jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Oktoba 23

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’