Jumatano hii jioni kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kitakuwa dimbani mkoani Kigoma kuikabili Aigle Noir kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Lake Tanganyika
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo huo;

ADVERTISE HERE