Tairone, Wawa wamkosha Aussems

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Oct 2019
Tairone, Wawa wamkosha Aussems

Pamoja na kuwa na mabeki sita kwenye kikosi chake, kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameeleza kufurahishwa na Tairone Da Silva na Paschal Wawa wanapocheza pamoja

Katika michezo mitatu zilizopita ambazo walinzi hao walicheza pamoja, Simba haikuruhusu bao

Aussems amesema hiyo ni ishara kuwa mabeki hao sasa wanaelewana tofuati ilivyokuwa siku za nyuma

"Huwezi kusema wanafanya makosa kwa sababu hadi sasa hatujafungwa bao kwenye mechi ambazo Wawa amecheza na Tairone," amesema Aussems

"Kitu kizuri ni kuwa wanaendelea kucheza kwa kuelewana kwa kadiri siku zinavyokwenda. Lakini siwezi kusema kwamba wao ndiyo wataendelea kucheza kila mara kwa sababu hapa kuna wachezaji sita ambao wana uwezo wa kucheza nafasi zao"

Wawa na Tairone wamecheza pamoja kwenye michezo dhidi ya Kagera Sugar, Biashara United na Bandari Fc

Leo huenda wakacheza tena pamoja katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir ya Burundi

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’