Nyoni vs Kagere ilikuwa 'vita' ya wanaofahamiana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Oct 2019
Nyoni vs Kagere ilikuwa 'vita' ya wanaofahamiana

Mchezo wa kirafiki kati ya Rwanda dhidi ya Tanzania ambao ulipigwa jana uwanja wa Amahoro ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Erasto Nyoni na Meddie Kagere ambao wanachezaji pamoja Simba, jana walikutana wakiwa timu tofauti

Kwa kiasi kikubwa uwepo wa Nyoni kwenye safu ya ulinzi ya Stars ulichangia Kagere kushindwa kuzifumania nyavu

Nyoni anamfahamu vizuri Kagere kwani wamekuwa wote Simba kwa misimu miwili sasa

Aliweza kumdhibiti vilivvyo akimnyima uhuru na kukosa nafasi ya kusababisha madhara langoni kwa Stars

Ilikuwa ni vita ya watu wawili wanaofahamiana vizuri na hata baada ya mchezo, walipongezana na kupiga picha ya pamoja na Msemaji wa Simba Haji Manara ambaye ni mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Uhamasishaji ya Stars

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’