Huu ni msimu wa rekodi kwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Oct 2019
Huu ni msimu wa rekodi kwa Simba

Pamoja na kuondoshwa hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa, Simba imeuanza msimu wa 2019/20 kwa kishindo

Mpaka sasa mabingwa hao wa Tanzania Bara, hawajapoteza mchezo wowote uwe wa kirafiki au wa mashindano

Tangu wakati wa Pre- Season Afrika Kusini, Simba haijafungwa

Wakati wa Pre Season Afrika Kusini ilishinda mechi mbili na kutoka sare mechi mbili

Ikashinda mechi ya Simba Day dhidi ya Power Dynamos ya Zambia, ikaichapa Azam Fc Ngao ya Jamii

Pamoja na kuondolewa na UD Songo Ligi ya mabingwa, Simba haikupoteza mchezo ilitolewa kwa faida ya bao ya ugenini

Imeshinda mechi zote nne za ligi kuu na wakati huu wa mapumziko ya michuano ya Kimataifa, imeshinda mechi zake mbili za kirafiki ikitarajiwa kukamilisha ratiba yake mkoani Kigoma kesho kwa kuumana na Aigle Noir

Je Simba itaweza kumaliza msimu bila kupoteza mchezo?

Ni jambo linalowezekana kwani kikosi cha Patrick Aussems kinazidi kuimarika siku hadi siku

Wachezaji wamekuwa wakipambana kusaka matokeo bila ya kujali ukubwa wa mchezo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’