FT : Mashujaa 0-1 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Oct 2019
FT : Mashujaa 0-1 Simba

Mchezo wa kirafiki kati ya Mashujaa dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Pamoja na changamoto ya hali isiyoridhisha ya uwanja, Simba iliweza kuwapa burudani wakazi wa mkoa wa Kigoma na maeneo ya jirani ambao walijitokeza kwa wingi kuwashuhudia mabingwa hao wa nchi

Bao pekee la wekundu wa Msimbazi liliwekwa kimiani na kiungo fundi Sharaff Elden Shiboub kwenye dakika ya 57

Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa Simba katika ziara yake ya Kigoma

Jumatano Oktoba 16 Simba itakamilisha ziara yake kwa kumenyana na Aigle Noir

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
34m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’