Simba kuwapa burudani wakazi wa Kigoma leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Oct 2019
Simba kuwapa burudani wakazi wa Kigoma leo

Wakazi wa Kigoma na maeneo ya jirani leo watapata burudani kutoka kwa mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba ambao wako mkoani humo kucheza mechi za kujipima nguvu

Leo Jumatatu saa kumi jioni Simba itashuka uwanja wa Lake Tanganyika kumenyana na wenyeji wao, Mashujaa Fc

Mchezo huo umekuwa gumzo kwenye viunga vya mkoa wa Kigoma na maeneo ya jirani hasa ikizingatiwa unawahusisha mabingwa wa nchi ambao wamejipambanua kwa kuwa na mashabiki kila kona ya nchi

Simba iliwasili mapema jana mkoani Kigoma kwa usafiri wa ndege na jioni kujifua dimba la Lake Tanganyika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’