Baada ya kuwasili mkoani Kigoma mapema leo, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba, jioni kilifanya mazoezi kwenye uwanja wa Lake Tanganyika
Kesho mabingwa hao wa nchi watasuka katika uwanja huo kuwakabili wenyeji wao Mashujaa Fc
Mchezo ukitarajiwa kupigwa saa kumi kamili jioni







ADVERTISE HERE