Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimewasili salama mkoani Kigoma tayari kwa michezo wa kirafiki dhidi ya Mashujaa Fc na AIgle Noir
Aidha, kikiwa njiani kwenda hotelini, kikosi kilipita eneo la Ujiji na kufungua Tawi la Simba la Tanganyika.






ADVERTISE HERE