Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bandari Fc jana, leo kikosi cha Simba kinaelekea mkoani Kigoma kucheza mechi mbili za kirafiki
Kesho Jumatatu, Simba itacheza na Mashujaa Fc, mchezo ukipigwa uwanja wa Lake Tanganyika
Siku mbili baadae, Oktoba 16 Simba itacheza na Aigle Noir katika uwanja huohuo
Michezo hiyo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Oktoba 23
ADVERTISE HERE