FT : Simba 1-0 Bandari Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2019
FT : Simba 1-0 Bandari Fc

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wameibuka kidedea kwenye uwanja wa Taifa baada ya kuichapa Bandari Fc bao 1-0 katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki

Pamoja na kutengeneza nafasi za hapa na pale, Simba ililazimika kusubiri mpaka dakika ya 78 kupata bao pekee  lililowekwa kambani na Ibrahim Ajib Migomba aliyemalizia kazi nzuri iliyofanywa na Rashid Juma

Juma aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Kanda, aliongeza kasi ya mashambulizi ya Simba

Katika mchezo huo kocha Patrick Aussems aliwapa nafasi nyota ambao mara kwa mara hawapati nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Kikosi chake pia kilijumuisha nyota wa timu ya vijana ya Simba

Aidha, mshambuliaji Wilker Da Silva alianza, akicheza kwa dakika 45 baadae kutoka kwenye kipindi cha pili kumpisha Said Khamis Ndemla

Baada ya ushindi wa leo, Simba inaelekea mkoani Kigoma ambako keshokutwa itacheza na Mashujaa Fc uwanja wa Lake Tanganyika

Oktoba 16 itacheza na Aigle Noir katika uwanja huo huo mkoani Kigoma

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’