Kikosi cha Simba kimeondoka leo Alhamisi Alfajiri kwenda Mtwara tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12 dhidi ya Ndanda FC.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Nangwanda Sijaona, mkoani Mtwara, keshokutwa Disemba 30.
Simba imeondoka bila Haruna Niyonzima na Emanuel Okwi ambao ni majeruhi.
Beki mpya Asante Kwasi naye atakosa mchezo huo kwa kuwa hajafanya mazoezi na wenzake tangu atue kutoka Lipuli FC huku Said Mohammed 'Nduda' na Shomari Kapombe na Salim Mbonde wakiwa bado ni majeruhi pia.

ADVERTISE HERE