Simba kujipima na Bandari Fc leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2019
Simba kujipima na Bandari Fc leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kitashuka uwanja wa Taifa kuikabili Bandari Fc kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki

Ni mchezo maalum kwa ajili kukiweka kikosi cha Simba katika hali ya ushindani wakati huu ambao ligi imesimama kupisha michezo ya kalenda za FIFA na CAF

Pia Simba itautumia mchezo huo kuwapa nafasi wachezaji wake waliokosa muda wa kutosha kwenye kikosi cha kwanza

Nyota sita wa timu ya vijana (Simba B) wamejumuishwa kikosini kuchukua nafasi za wachezaji wanaokabiliwa na makujukumu ya timu za Taifa

Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi jioni

Viingilio vya mchezo huo Mzunguuko ni Tsh 3,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati upande wa VIP A ni Tsh 20,000/-

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’