Kesho Jumamosi Oktoba 12 Simba itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Bandari Fc ukiwa ni mchezo wa Kimataifa wa kirafiki
Tiketi za mchezo huo tayari zinauzwa kupitia Mawakala wote wa Selcom
Viingilio vya mchezo huo Mzunguuko ni Tsh 3,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati upande wa VIP A ni Tsh 20,000/-
ADVERTISE HERE