Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeondoka Alfajiri ya leo Ijumaa kuelekea nchini Rwanda ambako Oktoba 14 watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji wao Rwanda
Baada ya mchezo huo, msafara wa Stars utaunganisha kuelekea nchini Uganda tayari kwa mchezo wa kusaka nafasi ya kucheza fainali za CHAN dhidi ya Sudan
Mchezo huo utapigwa Oktoba 18


ADVERTISE HERE