Mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi ambaye alijiunga na Itthad Club ya Misri, ameanza kwa kusuasua ligi kuu ya nchini humo
Akiwa ameshiriki katika mechi tatu za timu yake, Okwi bado hajafanikiwa kufunga bao wala kutoa 'assist'
Hata hivyo timu yake haikuanza vibaya sana msimu ikishinda mechi mbili na kupoteza mchezo mmoja
Okwi amejijengea heshima ya kipekee kwenye klabu ya Simba, aligoma kuongeza mkataba na kuamua kutimkia Misri
Yawezekana ni mapema sana, lakini mara nyingi Okwi amekuwa na kawaida ya kuanza msimu mpya kwa kishindo
ADVERTISE HERE