Azam Tv imethiitisha kuwa itarusha mbashara mechi tatu za kirafiki ambazo Simba itacheza kabla ya kuikabili Azam FC Oktoba 23 kwenye mchezo wa ligi kuu
Mchezo wa kwanza Simba itacheza na Bandari Fc siku ya Jumamosi, Oktoba 12 kwenye uwanja wa Taifa
Baadae mabingwa hao wa nchi wataelekea mkoani Kigoma ambapo Oktoba 14 watacheza na Mashujaa FC katika dimba la Lake Tanganyika
Aidha Oktoba 16 Simba itacheza na Black Eagle
ADVERTISE HERE